Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Tangu lini shimba akashika wingu kufanya maombi halafu timu ishinde[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nini shida mrembo mbona leo mapema?Goodnight Fam
Waaaambbbbiiiiiiiiiiie bro.Simuhame timu, mbona timu zinazofanya vizuri zipo kwanini kukomaa kwenye maumivu?
Bado wewe kushushiwa kipigo[emoji23][emoji23]
Leo Nina wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]..Haki ya Nani ungekuwa karibu ningekutoa machozi..Maana hapa nacheka Hadi nadondoka chini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91].moudgulf njoo uniokoe kamanda. Hali tete huku [emoji16][emoji16][emoji16]
Dada kwema?Goodnight Fam
Hana hamu,huku man u huku barca[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Amelala[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
ππππ na mimi nilimvuta makusudi tu ili nipige mahesabu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bonge la mtego. Na wote tuseme asante king
Haha, naimani nimepatiaa hilo jina bhana..! Vipi wewe wekeend inaendaje mahali hapo.??
Nashukuru sana kwa salamu mtunza mapacha wangu[emoji18][emoji2088][emoji2088]
Hivi wewe upo timu gani mtani?Au ni yanga?Bado wewe kushushiwa kipigo[emoji23][emoji23]
Hawa wote wawili nipo nao Leo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hasa huyu Babu yenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..nilimwambia kuwa Leo lazima Alie[emoji1787][emoji1787]
Shahidi babusijakuelewa bado.
nimechepuka wapi
na nani
shahidi nani
hongera kwa ushindi mpaka dakika hii, baeee ana majonzi leo.
tafadhali usimtume dukani akanunue kamba au dawa ya panya.
ππππ na mimi nilimvuta makusudi tu ili nipige mahesabu
Salama bro?Iko na muonekano mzuri, ingekuwa sokoni ingefanya vizuri sana.
Ata mimi ndio D, huwezijua kuna leo na kesho πJamani D hata wewe π
Am good, habari ya wkend?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Anything babe nipo hapa kwaajili yako
hili timbwili lako tokea mchana nahofia ukikutana na moudgulf huenda ukampelekea babu shimba ye buyenzeeeeeeee le kiunooo asahahau kupost mapicha ya makalio humu ndani.
babu shimba amesema ukija wewe basi ujue yeye kashakufaaaaa.
babu hataki kelele
Sure! Ipo fresh sanaIko na muonekano mzuri, ingekuwa sokoni ingefanya vizuri sana.