moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Wewe kiboko. Hata Moud cha mtoto. Jizazi [emoji16][emoji16][emoji16]
Hivi ulijificha eti??[emoji23][emoji23][emoji23]
babu nakwambia huyu kitukuu chako ubishani wa sembe sitii mkonoooo.
hafai kwa chambo wala kwa kitoweo
Yaani nimeweka bando kwa ajili yao niwape pole kwa maombi yao uchwara[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nawaachaje kirahisi Sasa..
Miatano yangu ya kunywa soda nimenunua bado Haki ya Nani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Yes yesss mie team liveeeerrrr[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aston villa manina zenu na baba yenuuuuuuuuuu.
moudgulf anakujaaaaaaaaa
Wameuza mechi
[emoji23][emoji23][emoji23]
Ulikuwa wapi wewe..wamekutafuta Sana humu[emoji1787][emoji1787][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji1787][emoji1787]
[emoji817][emoji817][emoji817]
daemusin hafai kumuombea marehemu dua,
akimuombea pepo atakwenda motoni.
akimuombea moto atakwenda peponi
Mwaka huu utahangaika sana aisee [emoji16][emoji16][emoji16]
Solution hapa ni kuzima data tu na kupotea mazima. Wanaudhi yaani mpaka basi
itabidi nibonyeze kitufe cha ignoreeee special for le moudgulf.
mara paaap mzee wa liver anafufuka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Raia wametawanyika kama walivyoahidi
Kweli wametawanyika aisee.
Mi nasubiri kimbunga cha mashabiki wa yu wili neva wok aloni [emoji16][emoji16][emoji16]