Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
FAIDA ZA FENESI
Tunda hili ni tunda lililodharaulika sana na watu wanakimbilia kwenye matunda ya gharama na kusahau tunda lenye thamani kubwa kiafya huku likiwa na thamani ndogo sana kipesa.
hongera brother kwa kugonga miaka 50.Usinipunguzie umri wangu mkorea, mi ni mmoja kati ya wahenga wachaache hapa.
Wakati Gerd Muller anakabidhiwa Kombe la Dunia baada ya mechi ya kibabe dhidi ya Uholanzi mwaka 1974, mi tayari nipo Duniani ingawa nilikuwa mdogo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
[emoji23][emoji23][emoji23]umewaza nini moudFenesi[emoji23]
Ukiweza waangalie jumatano UCLkabla hawajacheza na barcelona natamani niwaone madrid wakicheza.
nimekuwa mvivu sana kufuatilia ligi ya hispania msimu huu.
barcelona niliwaona kwa dakika 30 tu walipocheza na sevilla
usiongee kwa nguvu idara ya uhamiaji wakiskia watamuita SYB kesho akahojiwe uhalali wa uraia wake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] humu raha sanaKula chakula cha kutosha, kisha kunywa maji ya kutosha.
Maji yanaanzia kwenye lishe.
Haiwezekani unywe vijiko vitatu vya urojo utarajie kumaliza lita moja ya maji
5)ni kinga ya cancer yaani hutaumwa na cancer
Pole ya nini jamani?Lita moja kwa siku?
Asee, poleni jamani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mpendwa naomba agizia mirinda nyeusi nakuja kulipa πππππππ
ZIFUATAZO NI FAIDA ZA FENESI.
Ngozi ya FENESI yaani ile ganda lenye vipelevipele. Ukichemsha na kunywa utapata faida zifuatazo kiafya.
1)hushusha sukari mwilini kwa haraka sana.
πππππIle comment imenifurahisha sana mzee wa urojo kapoa sana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ananifurahishaga sanaπππππIle comment imenifurahisha sana mzee wa urojo kapoa sana.