moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daah!
17:00 JK Park pale Kidongo chekundu usikose bro
Simba Hawa Hawa ambao walianza mchezo na kupigwa magoli ya kutosha licha ya kusajili viungo wapya na msemaji wao kujinadi kwa kila sifa!????Ukiwa na ndoo lazima pia uwe na kidumu ( kindoo kidogo) ili siku ukishindwa kubeba lindoo unakibeba kidumu chako.[emoji23][emoji23]
Ukiwa timu kubwa ulaya ni vema pia uwe na timu ndogo Tanzania.
Na timu pekee ambayo angalau haitakupa presha kwa hapa Tanzania ni Simba tu[emoji2211][emoji2211][emoji2211]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Moud baba,kaka ake carba tusameheee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] liver tu inatutosha unataka kumsogeza bodaboda FC jamaniii
anatangaza vita na silaha hana.
muombezi wake usije ukakimbia
basi huyu bwege amedanganya.Siyo kweli mkorea.
Morogoro yamejaa tele.
Kuna vijiji vinaitwa Mkuyuni na Kinole yanapatikana matunda viungo vyote vinavyopatikana Zanzibar.
Mpaka Karafui utaipata ingawa si kwa wingi kama ule wa Zanzibar
Siioni tena bana [emoji23][emoji23]
Ahsante sana ila wanasema mbuzi inadhoofisha magoti.Ni kweli?
Kwa kweli sifahamu kuhusu hilo mpendwa,uwe na weekend njema.
[emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]. Akijitokeza hapa na mikwara yake nazima data [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Fenesi[emoji23]
Hahahahaa anne ana mbwembwe
Anzisha uzi
Nchi yangu hii. Nina pasipoti zaidi ya miaka 20 sasa. Kimbembe sasa kimekuja kwenye kupatiwa kitambulisho cha taifa. Jamaa wanataka birth certificate ya wazazi na yangu. Enzi zetu huko mtu ulikuwa unazaliwa tu vijijini huko hakuna cha birth certificate wala nini na sijawahi kuwa nayo. Yaani hapa nakuna kichwa nifanyeje kwa sababu hata makaratasi ninayotumiaga kuombea pasipoti hayafai. Yawezekana kweli uraia wangu una utata aisee [emoji16][emoji16][emoji16]usiongee kwa nguvu idara ya uhamiaji wakiskia watamuita SYB kesho akahojiwe uhalali wa uraia wake
Nijuavyo nyama nyekundu kiafya si nzuriHata mi nilishasikia hiyo, tumuombe bint mpole alete ukweli wa suala hilo
Cc Numbisa
..humu tupo makapuku kupoteza muda siku iende
Ni kweli mkuu samahani kwa kujumuisha ninyi nyote. Nilikua namaanisha mimi mwenyeweSpeak for yourself sir. Huwa sipendi watu wanaojidharau na kujiona kuwa wameshashindwa. Ukiwa na mentality ya aina hii maisha yatakunyorosha sana. Kwa taarifa yako humu kuna watu wa kila aina ...[emoji2221][emoji2221][emoji2221]