Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mi nilikuwa naongelea mlenda mwingine na wewe [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hujui Kama Mimi Ni andaeitini!???[emoji85][emoji85]
 
Happy birthday Kgothalo, miaka mingi kwako
Kgothalo; mbona umefuta meseji orijino ya birthday? Anyway, ngoja nami nidandie hapa kwa andaeitini huyu kukutakia kila la heri na furaha isiyomithilika leo unaposherehekea sikukuu yako ya kuzaliwa na siku nyingine nyingi zijazo. Hangamaga ilumbulyane (ishi maisha marefu dadangu) [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Asante sana Kaka yangu mpendwa [emoji4][emoji4]
 
Mwenye jukumu la kulinda afya ya baharia ni baharia mwenyewe. Kudai vinginevyo ni kukwepa majukumu na kuhamisha lawama tu. Wewe mwanamke umempata humu mitandaoni humjui mbele wala nyuma ndiyo kweli unauza mechi? Bila kupima na kuvishana mipira? Tena mechi nne tofauti? Shwaini zake baharia huyu kefule. Mi wala simhurumii...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…