moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Kwema kabisa ndugu yangu, habari za majukumu?
Ni kweli ila na yule dada pia hana utu bana.Mwenye jukumu la kulinda afya ya baharia ni baharia mwenyewe. Kudai vinginevyo ni kukwepa majukumu na kuhamisha lawama tu. Wewe mwanamke umempata humu mitandaoni humjui mbele wala nyuma ndiyo kweli unauza mechi? Bila kupima na kuvishana mipira? Tena mechi nne tofauti? Shwaini zake baharia huyu kefule. Mi wala simhurumii...
Jiwe limetupwa gizani.Eti yuzilesi[emoji23][emoji23]
Basi muache kutuita andaeitini Maana mnatusingizia bure[emoji85]
Jamani [emoji23][emoji23]
Tena Ni wanafiki namba moja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089]View attachment 1276180
Imekiuka mising ya demokrasia ya mabaharia...
Alichofanya baharia siyo poa. Amepata haki yake.Imekiuka mising ya demokrasia ya mabaharia...
Duh kazi IPO...Askofu amezidi kusema tayari wameshaanza kumchimba chimba maisha yake binafsi...
View attachment 1276628
Brother Unanicheka?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamani [emoji23][emoji23]
Homo Sapiens ni kiumbe mharibifu asiye na mfano. Asingekuwepo dunia hii ingekuwa na uzuri wa ajabu.
Tena Ni wanafiki namba moja
Lipi Hilo???[emoji2]Jiwe limetupwa gizani.