Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Haiwezekani kutokuwa na akili. It is logically impossible...Kutokuwa hakupo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221]Unaweza sema ngoja nipumzike kidogo nipumzishe akili kumbe hata akili zenyewe hauna
Hivi Kuna haja ya kudiscuss mbambe hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ikibidi wawowane tu kwa sababu hakuna namna. Ila huko ndani sijui nani atakuwa mbabe. Labda atakayekuwa na siksi paki kumzidi mwenzie [emoji16][emoji16][emoji16]
Nyanda za juu kaskazini π[emoji41][emoji41]hivi uko wapi eti??
Sema siku hizi Karma kapoa kidogo....[emoji16][emoji16][emoji16]Hivi Kuna haja ya kudiscuss mbambe hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Karma mbabe mdomoni tu.
Yule mbabe kotekote...
Kweli kabisa wawowane tu[emoji3]
Hilo kundi la pili sasa[emoji23][emoji23][emoji23]Makundi ya vijana wa Kitanzania ambao hujihisi wameyapatia maisha
- Wanaojua kuzungumza Kiingereza hata kama wanazungumza Kiingereza "broken". Wote ni mashahidi, hawa hata hapa JF wapo. Siku zote hujihisi wao ni bora na maisha wameyapatia. - Wanaomiliki matoleo mbalimbali ya simu za iPhone. Siongezi neno kuhusu kundi hili. - Waliochukua mkondo wa masomo ya...www.jamiiforums.com
Nyanda za juu kaskazini [emoji28]
Nilishakuja.Unamuita wa nini? [emoji36][emoji36][emoji36]
Unaweza sema ngoja nipumzike kidogo nipumzishe akili kumbe hata akili zenyewe hauna
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni ng'ong'ona hivvyohivyo[emoji3]
Mumewe si wewe mpendwa unazunguka nini πππKama unamkubali malkia ISSI mfuate kwao Msasani Peninsula.
Ila kama nilivyokwambia awali, hapa jukwaani yupo mumewe aka mchepuko tunapiga naye stori
SanaSema siku hizi Karma kapoa kidogo....[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dawa yako inachemka aisee
Umejuaje kama mbabe kotekote ππHivi Kuna haja ya kudiscuss mbambe hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Karma mbabe mdomoni tu.
Yule mbabe kotekote...
Kweli kabisa wawowane tu[emoji3]
Safi Sana dogo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122]Nyanda za juu kaskazini [emoji28]
Hivi zile six pack hukuziona tukusaidie kukuonyesha[emoji1787]Umejuaje kama mbabe kotekote [emoji1][emoji1]
Nimeziona ila mbona za kawaida ama aliweka nyingine.Hivi zile six pack hukuziona tukusaidie kukuonyesha[emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuchukua Ubingwa wa epielo haifanani na kuchukua kijiko kabatini.
Liverpool kwa mara ya mwisho ilichukua ubingwa huo mwaka 1989, mara zote ilipita kwenye njia kama hizi na hatukufika kwenye mafanikio.
1989--2019 ni miaka 30, kuongoza ligi baada ya mechi 15 za mwanzo siyo sababu
πππkwani jana nilisema niniIna maana mpendwa huwa unapita kwa kunyata sasa hivi ndio naelewa why uliandika vile jana ππ
[emoji849][emoji849]Nimeziona ila mbona za kawaida ama aliweka nyingine.
Utabadilisha avatar mpendwaπππkwani jana nilisema nini