Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,204
Kwa hiyo unataka awe na Kiuno chembamba kama chako[emoji849][emoji849]
Sasa zile Ni za kulinganisha na nyamanyama za karma?
Chat na pichaUtabadilisha avatar mpendwa
Nibariki mpendwa na mimi japo nioneChat na picha
Subiri mwisho,utaona kama Ni nguvu ya soda ama bia.Liver ni kama moto wa mabua.
Huwa wanaongoza ligi mwisho wa siku kombe anabeba mwingine
#hiininguvuyasodatu
Kama unamkubali malkia ISSI mfuate kwao Msasani Peninsula.
Ila kama nilivyokwambia awali, hapa jukwaani yupo mumewe aka mchepuko tunapiga naye stori
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hiyo unataka awe na Kiuno chembamba kama chako
Aisee 😄😄Mkuu kama hauwezi kusema hapa si tuende tukatete kule mtaa wa saba??[emoji16][emoji16][emoji85][emoji85] Msasani Peninsula wapi sasa Masaki, Oysterbay, au Msasani kwenyewe??
Nimegundua unapenda kifua ngoja nikuunganishie 😄😄[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani tunaongelea Kati ya lizarazu na karma Nani mbabe?
Nikasema hakuna haja ya kujadili Maana lizarazu Ni mbabe kotekote mdomoni na mwilini.
Sasa akiwa nacho Kama kimwili changu si anaweza kufa kabla ya muda,,Bora zile nyamanyama zitamuwezesha kukinga ngumi[emoji23]
Jana niliwahi kulala.
Jamani[emoji7][emoji7][emoji7]
Hizi kufuru Sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
5????Kama netball ..yaani nashindwa hata namna ya kushangilia
Ulisikia wapi hii mpendwa?Kama tunataka mali tutaipata shambani