Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kamtuliza Kim au yeye ndiye katulizwa na Kim?

Huyu anakoelekea atakuja kuanzisha dini/kanisa/cult yake ambayo itakuja kuwa mashuhuri sana. Ana vipaji vingi !!!
Upo sawa bro,Kanye katulizwa na Kim,na Kanye anamzimia sana yule dada hyo haina kificho since day one jamaa ameona ile sex tape ya Kim,jamaa anasema aliipa lazima amuweke ndani Kim
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…