Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Hapana sio kutekwa mbona unalazimisha nitekwe wakati nipo huru tu π....
Tayali tumeshashinda game ya leo [emoji23][emoji23][emoji23]Dawa yangu sio ngumu,mimi kupendwa na wewe.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ha ha haJamaa gani huyo amedondokewa
πππ
Nimecheka mno wewe mnywa Urojo una visaπππmama weee!
hayo mahaba yatakapo sababisha uwe chakaramu tafadhali usije ukazivua nguo zako mbele ya hadhara..
rusha mawe yako weeee mpaka uchoke
FT: MCC 2 vs 1 EVTmancity 1 everton 0
na udogo huna muhuni wewe
Zimefika mpendwaZimefika bila shaka nawe pia salamu kwa twice
[emoji2][emoji2]mama weee!
hayo mahaba yatakapo sababisha uwe chakaramu tafadhali usije ukazivua nguo zako mbele ya hadhara..
rusha mawe yako weeee mpaka uchoke
Sanaaaa aisee π
Wanazingua kishenzi na hayo madude yaomanina zake VAR..
mpira ushapita dakika nzima ndio maamuzi yanafanywa
ππππππdavet, the happiness, moudgulf na watoto wengine muda huu wana angalia taarifa ya habari..
tuekee watu wazima tujifunzee
Unalala mapema hutaki kupata somo la Binti mpole?
Haya ndio mambo tunataka kwa mwaka mpya sasa πππ...... na sisi chipukizi tujifunze kushibishaMbinu za kumshibisha mpenzi wako, zipo nyingi ila kwa kuwa ukurasa huu unasomwa na watu wa kila rika, siwezi kuandika wakati huu.
ππππππ Daah!Manjonjo,makeke,amsha amsha
Haya maswali yako haya ndio maana safari yako ya Burigi haifanikiwi πMashamsham ndio manini Esta?
Bro bro,Haya maswali yako haya ndio maana safari yako ya Burigi haifanikiwi π
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] hapa ndipo anapofeli mzee mwenzangu..Haya maswali yako haya ndio maana safari yako ya Burigi haifanikiwi [emoji3]
Unaogopa kulazwa njaa naonaπ€£π€£π€£π€£π€£Unalala mapema hutaki kupata somo la Binti mpole?
#Kushibisha