Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wangesogeza huduma mtaani kama wanavyosajili vitambulisho vya kupigia kura.
Utaratibu waliouweka umejaa urasimu na usumbufu usio na kichwa wala miguu
Yawezekana hakuna mahusiano ya hivyo vitu viwili lakini kwakuwa ni utaratibu tuliojiwekea si vibaya tukiufata utaratibu huo na kutii sheria bila Shuruti

Mtakatifu Anne

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwema The don?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…