myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Hawa man utd Ongezea na Hawa Simba Koko wanaolambishwa sukari.Ila naipenda sana timu inayovaa jezi nyekundu lakini siyo Man United.
Huwa najiuliza inakuwaje Man United inavaa rangi hiyo ? View attachment 1329823
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii Simba nadhani damu ya mzee yao ilikuchanganya si bure[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hata hivyo ninapo shangilia Simba au livapuu huwa sipo na nia ya kumkera yeyote
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi za liva anayekasirika atapata tabu Sana..Kama kuna mtu anakwazika na hizi picha za livapuu na Simba nazotupia hapa avumilie
Sent using Jamii Forums mobile app
Tutaonana pale katumbaUlivyo itikia ezi ifu tutaonana kweli [emoji1][emoji1][emoji1]
Ahsante ningendako salaam zimefika.
#usilisahauombilangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitumie Basi namba, ukashindwa kabisa nicheki Kwenye ile anwani sijui anuaniNaomba namba niku "dip" ili na wewe uwe nayo yangu maana nipo karibu na mizani hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mara alama za vidole. Mara hivi. Sijui pasipoti za kielektroniki. Vitambulisho vya taifa. Kuna ajenda kubwa hapa. Kuwabana watu. Kuwafuatilia vizuri. Big Brother yupo kila mahali. Na hizi ni dalili za mwanzo za udikteta. Na ukiinua kichwa tu unagongwa. Wana alama za vidole. Na sura ya kila mtu. Ndiyo silaha kubwa ya Wachina hii. Watu mabilioni wote wametulizwa...Kimyaaaa !!!
Obama alipitisha sheria nyingi sana zilizoingilia maisha ya Wamarekani moja kwa moja. Mpaka vyakula wanavyopaswa kula watoto mashuleni. Bima za afya kwa lazima...Amekuja "kichaa" Trump amezifuta zote. Hoja yake kubwa ni kwamba serikali isiingilie sana maisha ya watu. Mtu ale anachotaka. Hata akiamua kutokuwa na bima akiugua afe ni halali yake. Ndiyo maana ya uhuru...Serikali kazi yake kulinda raia. Na kutoa huduma za umma...kwa mfumo uliopangwa. Mengine haya watu wawe huru...View attachment 1329726
[emoji23][emoji23]Inawezekana sana.
Maana wafrika tunjijua wenyewe1[emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu brother anafaa kabisa akachukue fomu agombee ikibidi urais.Bro Umewaza sana kwa kweli mimi sikufikiri huko kabisa
✍🏽[emoji1672] View attachment 1330049
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana leo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Numbisa kwenye Location[emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]View attachment 1330050
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1672] View attachment 1330049