Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Usiwabanie riziki we acha wajaribu bahati zao.




Maana saivi nimekuwa Mpenzi Mtazamaji
 
Twende nikupeleke 7 7 basi ukapoze machungu[emoji23] [emoji23] mana Cole kalala saiv
Carpa tulia. Yaonekana bado mapenzi ya Kichwa yanapwita pwita eeh? Huyo Cole naye kulala lala tu. Najua ana Malaria lakini mijibaba ya hapa midowezi haijali kama unaumwa ama la. Hata kama mtu unakata roho yenyewe ipo tu inamendea. Mwamshe!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mijibaba minyatiaji haiishi humu ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…