Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
Ni kweli, hata mimi ni mtu wangu sana ila siku ile alinishangaza si kidogo. Yaani nilibaki nimeduwaa etiKwa I'd yake hii namuonaga hapendi kujikweza wala mabishano
Kafanyaje jirani?
Hizi takwimu kiboko...Kuingilia pasi
Diego Rico (Bournemouth) 63
Wilfred Ndidi (Leicester City) 56
Chris Basham (Sheffield) 52
Philip Billing (Bournemouth) 52
Jorginho (Chelsea) 52
Watu mna machoHakujibu wewe unayemkwaza direct ila anajibu kupitia comment ya mtu mwingine anayemuunga mkono
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka kwa nguvu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mie kuna watu walivamia uzi wangu kuwajibu kidogo wakaleta ugomvi basi jamaa sijui kafurahishwa na yale majibu ya jamaa akaanza like comment zao nikasema chiiii.
Genta
Povu analotema sasa. Hata jangwa lote la Sahara linalowa aisee [emoji16][emoji16][emoji16]Popoma hahusiki pale kasome koment zote,wapenda ukweli wameshafichua code zamani
Duh...Genta
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Wanasingizia ka kusafishia kipochiiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anavyojishtukia sasa utadhani kaambiwa ana domo kama kipimio cha njegerePovu analotema sasa. Hata jangwa lote la Sahara linalowa aisee [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duh...
Nimesoma comment yake,Kuna mtu akakoment anamwambia eti we jamaa kwa magazeti,nahisi walimu wako walipata shida kusahisha essay zako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni kweli....ASIKWAMBIE mtu, soka la kisasa pesa mezani. Ukiwa na mkwanja wa kutosha, basi utapata unachokitaka kwenye mpira wa dunia ya sasa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anavyojishtukia sasa utadhani kaambiwa ana domo kama kipimio cha njegere
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anafurahisha kajishtukia balaaNaona povu lake nikajua ni yeye
Numbisa kumbe wewe Ni mtata hivi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anafurahisha kajishtukia balaa
Wanamuonea bwana.Amini Binti mpole hao MajiniAss kila sehemu wapo sema tu wanakua wanatofautiana malengo yao kwa jamii husika, wengine wanakua na lengo la kusambaza kile walicho kwa wenzao. Ila kuna hawa wengine sasa wazee wa maonesho wao hutaka kujionyesha kwamba wanajua mambo mengi kuliko wengine