Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wanamuonea bwana.
Kwani akitoa mtazamo wake huu ya Jambo fulani Ni vibaya?

Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea katoa mtazamo wake kwa lengo lipi kati ya hayo mawili niliyoelezea, kama ni kusambaza knowledge tu kiroho safi sio mbaya ila kama ni kujionyeshea kwamba anajua aisee huwa inaboa sana
 
Inategemea katoa mtazamo wake kwa lengo lipi kati ya hayo mawili niliyoelezea, kama ni kusambaza knowledge tu kiroho safi sio mbaya ila kama ni kujionyeshea kwamba anajua aisee huwa inaboa sana

Mimi naona huwa anaelimisha tu.
Hakuna sehemu aliyotoa mawazo ili aonekane anajua..halafu huku Jf Ni jukwaa huru kwa hiyo mtu Ana uhuru wa kuandika na kuchangia chochote

Wanamuonea
 
Wanasaikolojia wanasema tabia hii ya mtu kujifanya anajua kila kitu yawezekana ni ugonjwa wa akili...

 
Kweli... wamechemka sana. Spika mama wa watu juzi kwenye mkutamo wa Trump nilimuonea huruma..anapiga makofi huku kanuna[emoji23][emoji23]
Siasa za upinzani zimegeuka uadui wa waziwazi tena personally mpaka watu wanauliza kama kweli hii ndiyo demokrasia ama la. Trump angekuwa na uwezo wa kuwafanya wapinzani wake wapotee angeweza sema tu kuna taasisi imara zinamzuia.

Wagombea hawa wa Democrats hakuna hata mmoja anayeweza kupambana na Trump sawasawa. Sasa wanasema labda bilionea Myahudi Mike Bloomberg...
 
Mimi naona huwa anaelimisha tu.
Hakuna sehemu aliyotoa mawazo ili aonekane anajua..halafu huku Jf Ni jukwaa huru kwa hiyo mtu Ana uhuru wa kuandika na kuchangia chochote

Wanamuonea

Japo ni hivyo lakini pia kuna social intelligence - kujua useme nini na wakati gani ili uendane na watu waliokuzunguka. Mf. Darasani na hata mkutanoni. Ni haki ya kila mtu kusema lolote na cho chote lakini kama mtu yule yule ndiyo anaongea tu muda wote na kujifanya anajua kila kitu, hakanyiki wala kusikiliza hoja za wengine hata ziwe nzuri namna gani kunakuwa na mushkeli mahali. Kuwakwaza watu siyo lazima uvunje sheria kwa sababu maingiliano na watu katika nyanja zote hayajatungiwa sheria za vitabuni.

Hivyo kuwa na uhuru wa kuandika na kusema cho chote haina maana kweli ndiyo useme na kuandika cho chote hata katika masuala usiyoyajua sawa sawa huku ukipuuzia maoni ya wengine (pengine wenye ujuzi zaidi kuhusu mada husika). Hayo ni matumizi mabaya ya uhuru [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…