Tansy
JF-Expert Member
- Apr 19, 2018
- 3,946
- 8,954
Wapi alipuuza maoni ya wengine?Japo ni hivyo lakini pia kuna social intelligence - kujua useme nini na wakati gani ili uendane na watu waliokuzunguka. Mf. Darasani na hata mkutanoni. Ni haki ya kila mtu kusema lolote na cho chote lakini kama mtu yule yule ndiyo anaongea tu muda wote na kujifanya anajua kila kitu, hakanyiki wala kusikiliza hoja za wengine hata ziwe nzuri namna gani kunakuwa na mushkeli mahali. Kuwakwaza watu siyo lazima uvunje sheria kwa sababu maingiliano na watu katika nyanja zote hayajatungiwa sheria za vitabuni.
Hivyo kuwa na uhuru wa kuandika na kusema cho chote haina maana kweli ndiyo useme na kuandika cho chote hata katika masuala usiyoyajua sawa sawa huku ukipuuzia maoni ya wengine (pengine wenye ujuzi zaidi kuhusu mada husika). Hayo ni matumizi mabaya ya uhuru [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Anonimazi foreva unabisha nini sasa wakati chansi nilikupa ya kuja kujihakikishia Gold Crest ukachomoa? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Bro bana hata mie siamini huo uhenga wake
Wanasaikolojia wanasema tabia hii ya mtu kujifanya anajua kila kitu yawezekana ni ugonjwa wa akili...
View attachment 1348649
Lakini kwa muda niliokuwepo humu kwa kweli sijaona Kama ana tatizo.Sio kwamba ujipe muda kidogo ili umfahamu vizuri ndio ujue kwamba wanamuonea au wapo sawa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anonimazi foreva unabisha nini sasa wakati chansi nilikupa ya kuja kujihakikishia Gold Crest ukachomoa? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sawa binti mpole[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie mpole balaa
Hujaelewa muktadha wa maoni yangu...Wapi alipuuza maoni ya wengine?
Kwanini useme anajifanya anajua Sana?
Je,Kama Ni kweli anajua..
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2][emoji1745]Tuseme ule ukweli ambao mleta mada hajauongelea. Kuna hii tabia ambayo bibie mmoja alimkosoa sijui baada ya hapo kama urafiki uliendelea. Ana tabia ukianzisha uzi either atakuja kujibu kwa kuweka link ya uzi wake ambayo haufanani sana na wa mleta mada(hapa anakosea maana badala ya wachangiaji kuchangia uzi husika wanahamia kwenye link ya uzi wake)
Tabia ya pili,ukianzisha uzi ukanoga akaja changia kidogo tu atasema ataeleza kwa upana kwenye uzi wake atakaouanzisha badala ya huo(hio inaua uzi husika wadau wanabaki kusubiria uzi wake)
Huyo bibie alianzisha uzi,jamaa akaleta link yake hapo,sasa mwenye uzi alikua anahitaji mawazo mbali mbali akaomba link hio ifutwe itahamisha mjadala
Mimi mzimaHuwezi jua, huenda walionunua wana ushirika na muuzaji ili kuonyesha kumkubali baba mchungaji.
Vipi lakini mzima
Sent using Jamii Forums mobile app
We nawe sometimes dah !!!
Hio quote imetembea mpaka nimeshangaa halafu aliyeitembeza kaibuka na id mpya duh
Naona uzi umekaa kiwivu wivu, chuki na kunyimana haki za kujieleza.
Maana mtu kama hajakutuma kutembelea uzi wake unawashwa nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mhenga wa miaka 70 na utaweza kuwa guide kweli wa kupandisha watu mlima mpaka juu kule kweli?Hata mimi najitoleaga kuwa guide sometimes. Njia na vichochoro vyote navijua. Karibu Naddy[emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Ndo maana yake...Bro kwa hiyo tunaweza tambua umri wako
Haka ka uzi kana ukweli ndani yake ila wengi wanaogopa kaugomvi basi wanakoment kiuoga uoga
Jamaa huyu anaboa sana umu JF. Jiwe gizani, sema yalaaaa...limekupata
Aiseee Sent using Jamii Forums mobile appwww.jamiiforums.com
Mnajuaje kama anahamisha wachangiaji?Una hoja, tena hoja nzito.
Ila ulitakiwa ukaimwage pale, ili hata mtu kama mimi ambaye sifutilii mambo yake ningemjua kwa kiasi furani.
Masuala ya kuvamia uzi wa mtu kwa nia ya kuhamisha wachangiaji na upumbavu na wivu wa kijinga
[emoji23][emoji23][emoji23] nimesoma comment zote lakini kuna comment zipo kwenye uzi wa likes zilitakiwa ziwepi kwenye huu uzi