Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,204
Ule uzi umeniuma sana mno,mimi hata niwe na shida vipi sitokuja kuomba ushauri jf au kwenye mitandao nife tu na siri yangu yaani unaweza kujikuta unajichukia na kujuta why umeaomba ushauri au kuandika uzi. Kuna members humu kazi kukatisha wazao tamaaDuh maskini. Enzi hizo za ligi ya zari kuna binti mmoja aliposikia mama yake zari anaumwa kwake ikawa shangwe na kejeli kede kede ,na habari za msiba zikawa burudani kwake. Zikapita wiki mbili akaja na uzi wa kuomba msaada mama yake anaumwa nikamkumbusha comments zake kwa msiba wa mama ake zari aisee lilimshuka lakini alilalamika mno(kwa style ya mama yake ni muhimu kuliko yule aliyekua anamkejeli). Wanaokejeli wengi hayajawapata yakiwapata wanaumia sana na kuona wameonewa zaidi ya wenzao
Tayari tumefika 😃Huku mbagala mkifika mnishtueee
Halafu mwanzo nilijua maiti Ni huyu mpauko..kumbe ni tofauti.Kuna member anaitwa maiti ukienda kusoma nyuzi zake na comments alizojibiwa utabaki unasikitika.
Watu wanaichukulia poa depression ila hii kitu inaua.
Hayo yanakuwaga na fangasi pole mpendwaHayanuki ila yametuama muda kwahiyo yatakua ni machafu tu
Asante MpendwaHayo yanakuwaga na fangasi pole mpendwa
Kama anko kakujibu hivyo mmhHapana jibu sina binti mpole ata anko naona kanijibu kisanii tu, embu nielimishe na mimi basi
Hahahaha unawakwepa wakwapuajiHii pochi hapana kwa kweli [emoji23][emoji23]
Na nisivyopenda mahindi
Sent using Jamii Forums mobile app
Heeee carbamazepine aunt ana kazi jamani hawa lastborn wa nowdays majanga 555555555555Nashukuru nipo poa sana mpendwa, Jua kali tu mpaka kutoka nje nashindwa
Hahah! Huu ubaguzi wa umri humu ndani utaisha lini?Kama anko kakujibu hivyo mmh
#kuakwanzaBadomdogo
😂😂😂Heeee carbamazepine aunt ana kazi jamani hawa lastborn wa nowdays majanga 555555555555
#ujihaunyweki
#jotokali
Nimeumia jamani, naomba tu Mungu anisamehe kama nilikomenti mzaha wowote kwenye post zake aiseeHalafu mwanzo nilijua maiti Ni huyu mpauko..kumbe ni tofauti.
Nimeumia Sana...tuwafariji Hawa watu jamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani kwanza inaahawishi watu kuikwapua.Hahahaha unawakwepa wakwapuaji
Mimi sikucomment mzaha ila naumia maana alishawahi nipm maskini mimi[emoji24][emoji24][emoji24]Nimeumia jamani, naomba tu Mungu anisamehe kama nilikomenti mzaha wowote kwenye post zake aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Hauishi kila siku mambo mapyaHahah! Huu ubaguzi wa umri humu ndani utaisha lini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona mambo si mabaya
Aisee, hivi mimi hakuwahi kunipm kweli? Ngoja nifuatilie daahMimi sikucomment mzaha ila naumia maana alishawahi nipm maskini mimi[emoji24][emoji24][emoji24]
Niliona tu jina miguu ya kuku,sikufungua..
Baada ya mwezi nikaja kuifungua na kujibu.
Hakureply Tena na Mimi sikukaa hata kufwatilia ,laiti ningetenga muda na kufwatilia,ningekumbuka Kama ndiyo yeye mpauko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa. Ndo maana huwa sipendi kufunguka sana humu. Nikiwa na wakati mgumu napotea kwa muda au nakuwepo kuperuzi tu nikiwa sawa naanza kuchati. Haya mambo ya kufunguka sio kabisa japo kuna baadhi wanafanikiwa kupata msaadaUle uzi umeniuma sana mno,mimi hata niwe na shida vipi sitokuja kuomba ushauri jf au kwenye mitandao nife tu na siri yangu yaani unaweza kujikuta unajichukia na kujuta why umeaomba ushauri au kuandika uzi. Kuna members humu kazi kukatisha wazao tamaa
Kama hivi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndiyo,ikiwezekana nifanye mpango wa keki kabisa,bday ya moud haiwezi pita kirahisi hivyo bila kusherehekea..tutakuwa hatujaitendea haki
Sent using Jamii Forums mobile app