Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wewe maana mwanzoni wakati unakuja kwenye huu uzi ulimzoea kwanza bro don na meme zake kisha ukafata kutuzoea sie. Ulikua hutaki likes zetu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Una shida sana we binti [emoji23][emoji23][emoji23] wakati nakuja kwenye huu uzi mimi na wewe tulikuwa hatujazoeana kweli? Watu kama kinga Kgothalo TH, carbamazepine na wengine wachache ndio labda nimewafahamu hukuhuku wengine wote tulikuwa tunapigana vikumbo huko barabarani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimekopa akili za daemusin kidogo
 
Juzi nilipita mitaa yetu huku uswahilini kuna njia ina maji machafu alafu kuna wamama wananawisha kwa 200, basi na mimi nilikanyaga nikanawishwa na picha ya ushahidi ninayo. Karibu uswazi mpendwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wa kishua aiseee leo umeziamulia mbavu zangu. Uwiiii zinaumaa
 
Kweli.
Kuna watu wanaona shida wapate wenzao na watu kama hawa maneno ya kejeli huwa yamewajaa ila wakipata wao shida wanaona wamekosewa na kuonewa.

Mtu anapokuja kuomba msaada humu mitandaoni au hata mtaani kama huwezi kumahauri ni bora ukae kimya,na wengi tunakosea hapa.
Tumezoea kukatishana tamaa na kuchukulia kila kitu ni utani.

Maisha haya!!
 
Ankoo andjul njoo unipe tafsiri ya haya maneno.

We mchina umekula nini eti?
 
Usiumie sana ila ujifunze pia.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nilijua tu nitaonekana muongo ila uzuri nilichukua ushahidi
 
Siku hizi nimeacha hii tabia yaan uzi wa kuomba msaada napita kulee nisije ropoka bure.

Maisha magumu kila kona. Jack mwenyewe kakoma alidhan atapata huruma ya walimwengu badala yake wamemgeuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…