Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Duuu, urais siyo mwepesi kihivyo kamanda.
Wafanye kazi ya ziada, Afrika hakuna urais mwepesi kuupata kwa mgombea aliye nje ya mfumo, ingawa mara chache hutokea hivyo.
Yaani atoke ghafla huko na kupewa nafasi hiyo ya ugombea urais!?.
Nadhani brother SYB aliongea kwa kujifurahisha tu.
CDM talanta waliyonayo Ni mbowe tu,Kama wanaweza wamsimamishe Tena huyu jamaa .
Nje na hapo,wakicheza mchezo walioucheza 2015 urais wataendelea kuusikia tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo wanajua moja kwa moja ni helaaa tumefata?
 
[emoji54][emoji54] si nitapata kesi ya kuua duu aisee hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…