Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Marahaba aiseeee.....
Tunajipanikisha bure tu poti. Nina kijiwe changu naendaga kupata kahawa/chai karibu kila wikiendi leo nimepita hapo kimyaaaa...Nimeshinda ndani tu yaani. Very boring na nimemsikia mshauri mkuu akisema total shutdown ya nchi nzima is possible. Jizazi helupazi [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Hasira zote za Corona Virus leo unazimalizia huku naona. Hakuna pa kwenda Leo, hata Gym unaogapa kwenda. [emoji3][emoji3]
Mmeanza. Mnataka tu kufikishwa kileleni hakuna lolote. Shwaini zenu [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Mwanamke kufika kileleni huongeza kasi ya mbegu ya kiume yenye kromosomu 'Y' kukutana na yai ili kutunga mimba ya mtoto wa kiume.
Kabila la Banyankole nchini Uganda wana utaratibu wa kupima urijali wa mwanaume kabla hajapewa mke. Shangazi wa bibi harusi mtarajiwa hushiriki tendo la ndoa na bwana harusi ili kupima kama mwanaume huyo ni rijali kabla ndoa haijafungwa.
[emoji23][emoji23][emoji23] tafiti hupingwa kwa tafiti ngosha niajee???Mmeanza. Mnataka tu kufikishwa kileleni hakuna lolote. Shwaini zenu [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Tafiti hizi za TWAWEZA hazihitaji kupingwa kwa tafiti aisee. Sayansi ya siku hizi imeingiliwa sana na objectivity hakuna. Anayemlipa mtafiti au interest za mtafiti ndizo zinaamua matokeo. Ndiyo maana leo utasoma utafiti unasema kunywa kahawa kunasababisha kansa na shinikizo la moyo (mtafiti kafadhiliwa na makampuni ya chai). Kesho tena unasoma utafiti unasema kunywa kahawa kunaongeza urefu wa maisha na kuimarisha afya ya moyo (mtafiti kafadhiliwa na makampuni ya kahawa). Sayansi ilikuwa enzi za akina Newton, Galileo na Einstein siyo hii ya sasa inayotawaliwa na pesa. Ila yote kwa yote kuwafikisha kileleni muhimu [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji23][emoji23][emoji23] tafiti hupingwa kwa tafiti ngosha niajee???
Sent using Jamii Forums mobile app
😅😂😂 kama lini kwani umewai kuniona
Ndio ulichokuwa umekibakiza kwenye ule mshitukoNaisikiaga hiyo michezo ya Machame[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee...Sungura wana kawaida ya kula kinyesi chao ambacho kina virutubisho bado. Kinyesi hicho kinaitwa cecotrope. (MentalFloss)
Kazi yua kidevu kukunwa 😂 😂 😂 😂Binadamu ndio mnyama pekee ambae ana kidevu. Lakini kumbuka mpaka sasa haifahamiki kazi ya kidevu ni nini.Chanzo: BBC
Safiii...Chokoleti ina kiwango kikubwa cha kemikali aina ya Theobromine & Phenylethylamine ambazo huongeza hamu ya kufanya mapenzi.
Duh!!Kabila la Chewa nchini Malawi, Wana utaratibu wa siri unaojulikana kama ‘Nyau’, ambapo maji yaliyotumika kuosha mwili wa marehemu hutumika kwa kutengenezea chakula ambacho huliwa na watu wote wanaohudhuria katika mazishi.
🙏Asubuhi njema
07:1606:42