Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Katika sayari ya Zuhura, mwaka ni mfupi kuliko siku. Zuhura inatumia siku za kidunia 225 tu kulizunguka jua wakati inatumia siku za kidunia 243 kujizungusha kwenye mhimili wake.Dunia: Kulizunguka jua - siku 365Kujizungusha kwenye mhimili wake - saa 24 = siku 1. (Space)
 
Ankoo umeamua kunitangaza sio😀😀😀
 
Poleni sana
Atleast huko mnachukulia hatua stahiki hii ishu

Wenzenu huku tandale tunaendelea kuhamasishana tusibusiane(no kissing) na tunawe kwa senitizers[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umri ambao mtu anaanza kufanya mapenzi unaweza kusababishwa na vinasaba alivyorithi kutoka kwa wazazi wake. 25% ya watu hufanya ngono kwa mara ya kwanza katika umri sawa na ambao ndugu zao wengine walianza. (TheGuardian)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna ukweli aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…