Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bi mdashi sijui anaendeleaje huko maana wewe mwenyewe hauminiki siku hizi.
Mungu azidi kumponya na kumpa faraja [emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23]

Bi mdashi yuko poa sana namshukuru Mungu
Anaongezeka na uzito,juzi ananiambia anataka kuolewa tena[emoji23][emoji23]

Amina ankoo[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Yan hiyo nyimbo nikiisikiaga tu kilio hiki hapa...
Nna uoga, Mungu atusaidie tu kwa kweli...nna rafiki yangu ni muoga sana ameshaanza mpaka na kulia.
Mtuombee wengine bado hatujaishi muda mrefu, hata mtoto wa udongo sina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…