Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mara ya mwisho kupata kwikwi iliisha baada ya muda gani?


Kwikwi inayoshikilia rekodi ya dunia kwa kukaa muda mrefu zaidi ilitumia miaka 68. Charles Osborne wa Iowa alianza kusumbuliwa na kwikwi mwaka 1922 na haikumwacha hadi mwaka 1990. Alikuwa anapigwa na kwikwi mara 20-40 kwa dakika. (Guinness)
 
India, shindano la kumtafuta mtu mwenye uwezo wa kujamba zaidi limeanzishwa lakini licha ya kupata watu wengi waliojiandikisha kushiriki, waliofanikiwa kuonesha ujuzi wao wa kujamba ni wa 3 tu ambao nao walishindwa kujamba licha ya kujitahidi kufanya hivyo. Walipewa wote zawadi kwa ujasiri wao wa kushiriki.
 
Wanasayansi huenda wakafanikiwa kurudisha nyuma ukuaji wa binadamu, utafiti umeonesha. Washiriki kwenye utafiti huo walitumia dawa kwa mwaka 1, ambapo umri wao wa kibaiolojia ulirudi nyuma miaka 2.5, ambapo kinga na mifumo ya miili yao iliimarika tofauti na muda ulivyokwenda.
 
Ni kweli, lakini pia nikiangalia kwa jicho la tatu ni kwamba hata nchi hizo rate ya kuzaa imepungua sana. Hivyo naona kama inweza kuwa fursa kwetu kwenda kusaidia kujenga uchumi na kuongeza population baada ya hili janga.
 
Sahani moja ya chipsi kavu huwa na mafuta yanayokaribia nusu kikombe cha chai sawa na ujazo wa milimita 250. Ulaji wa Chipsi mara kwa mara husababisha magonjwa mbalimbali kama figo, moyo, shinikizo la damu, kisukari na magonjwa mengine ya saratani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…