Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sahani moja ya chipsi kavu huwa na mafuta yanayokaribia nusu kikombe cha chai sawa na ujazo wa milimita 250. Ulaji wa Chipsi mara kwa mara husababisha magonjwa mbalimbali kama figo, moyo, shinikizo la damu, kisukari na magonjwa mengine ya saratani.

Ukichanganya na kuku plus juice ya miwa unasafisha kila kitu...


Cc: mahondaw
 
Deja vu - hali ya kuhisi kuwa kitu unachofanya/kiona kilishawahi kutokea kabla kwa namna ileile lakini siyo kweli. Mfani; unaongea na mtu kuhusu kitu fulani halafu unahisi ulishawahi kuongelea hicho kitu katika mazingira hayohayo, lakini ukweli ni hujawahi.
 
Jamais vu - hali ya kuona kitu ambacho unakijua lakini hukikumbuki au hakina maana yoyote. Mfano: unaandika neno "bakuli" lakini unakuwa na wasiwasi kuwa umekosea, unarudia kulisoma mara nyingi huku huelewi kama upo sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…