Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Niliweka janaWeka na wa upande wa pili
😂😂😂Natamani kabla haujafika huku uanze juu huko.
Lazima twende kwa itifaki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
AiseeeHakyanani imenitokea hii jumamosi nimefika sehemu wanauza matango nikataka niulize bei nikawa nimesahau kabisa jina lake. Nakumbuka nilinunua nikala nikamaliza ndio nikakumbuka jina lake
Sent using Jamii Forums mobile app
Haina ni hali ya kawaidaHaina madhara?
Hili jiwe wamelipachika jina la Apophis na watu wa conspiracy na wanaoamini katika unabii wa kitabu cha Ufunuo katika Biblia wanaamini kuwa jiwe hili litaitwanga dunia mwaka 2029 na NASA wanajua japo wanaficha. Eti ndiyo sababu iliyomfanya Trump kuunda tawi jipya la jeshi la Marekani linalojihusisha na mambo ya anga za juu pekee. Eti tayari kuna kitengo kinachohangaika kuona nini cha kufanya ikiwemo kurusha vyombo vyenye mabomu ya Nyuklia na kwenda kuyaripua karibu na jiwe hili ili kulifanya lisogee kidogo kwenye njia yake na kuwa mbali kidogo na dunia ili litukose kose huo mwaka. Mwaka 2004 lilipita kwa mbali kidogo na hata likitukosa mwaka 2019 likija kurudi tena kwa hakika halitaikosa dunia....Dunia imekuwa bize sana wakati huu, Asilimia 75 ni green light kabisa kwa hilo jiwe kuja ila vitu vingine vinakuwa nje ya uwezo wetu kabisa hatuna chakufanya zaidi ya kutoa kauli zilizo jaa jina la Mungu
#Mungutuepushie
#Mungutusaidie
Amina shem[emoji120][emoji120]Huwezi shem...
22 yrs old Corona kamwe haitafurukuta....
Na ishindwe katika jina la Yesu kabisa kabisa [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
20292020?
Hata mimiSijawahi ona mtu akinywa nyagi ya baridi
[emoji23][emoji23][emoji23]Mara dawa ya corona ni kumeza sperm.
#nilikuwepo
#LaleniSalama
Watu wako fasta
AiseeAaargh...Huyu binti kaniharibia siku yangu. Kakaa tu vibaya halafu kumbe hata kufuli hana. Shwaini kabisa wallahi [emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Na kwanini itokee?Haina ni hali ya kawaida
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aaargh...Huyu binti kaniharibia siku yangu. Kakaa tu vibaya halafu kumbe hata kufuli hana. Shwaini kabisa wallahi [emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
AiseeHyperion tree' mti unaotajwa kuwa mrefu zaidi duniani, haujulikani eneo sahihi ambalo upo kwaajili ya kuulinda dhidi ya uharibifu wowote ambao unaweza kufanyika japo inasemekana upo katika moja ya misitu huko California. Una urefu wa mita 115 .85
PoleNimerudi...hata hapalaliki
Siwajibugi mbovu mimi, ila matendo tu utakaa unisumbue sumbue hovyo