Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,389
- 59,151
Hapana, bahati mbaya kinga za miili yao zinakua sio thabiti tena.
Aisee, ahsante.2029
Salama mtani japokua corona inatishia...Mtani vitu vingine inabidi tu.
Salama kabisa
Habari ya kuadimika
Ukibadilisha na Avatar lazima nitakupotea labda ukibadili id alafu yenyewe uiache kwa muda ....
Sisi tu tunakuchoka sasa sijui hao mods itakuaje [emoji3]
Hee
Connection wapi [emoji23]
Namaanisha watu waliosomea HRM
Wana uelewa mzuri na hivi vitu..nitawaomba hao wanielekeze
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh its our very own ledada ama?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] na ndiyo yeye kanibadilishia id zote hii ya sasa akaniambia tafadhali usibadili sana ids hadi naogopa kumfuata tena maana hata wiki haijaisha
Duh its our very own ledada ama?