Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

"Baadhi ya wazazi huwapa watoto maji ya kunywa watoto wachanga kwa kudhani wana kiu ila wanapaswa kufahamu sehemu kubwa ya maziwa ya mama ni maji, kwa hiyo maji yaliyomo kwenye maziwa ya mama yanakidhi kiu ya mtoto kwa miezi sita ya mwanzo." Dr Mabula
 
Kuna baadhi ya wanawake wakisema hapana nia uendelee kumpa mistari zaidi ili alegee, huwa hivyo pia hata mkiwa chumbani, ndiyo maana baadhi ya wanaume huwa ving'ang'anizi wakiamini huwaenda siku moja wakafikiriwa
Kuna demu nilimng'ang'ania fo thrii fulu yiazi. Mwishowe akatoa mzigo eti ili nisiendelee kumsumbua [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Faida za kunyonyesha ni pamoja na kulinda afya ya mama kwa kupunguza uwezekano wa kupata saratani ya matiti na ya ovari na huzuia upotevu wa damu baada ya kujifungua pia husaidia tumbo la uzazi kurudi mapema katika hali yake ya kawaida." Dr Mabula
 
Hapo sasa najua atakuwa anatafuta majibu mabaya, maana mwanzo huwa tunakuwa wastaarabu tu ila wanavyoendelea wanatusababisha tujibu vibaya, halafu waje kulalamika kuwa wanawake wa siku hizi tuna majibu mabaya ndiyo maana eti tunachelewa kuolewa, wanaume wa bongo bhana.

Hakuna mwanaume aliye tayari kushare, hivyo mwanaume akinijibu hivyo nami namchukulia kuwa hayuko serious na mimi.
Vipi akisema yupo tayari kushare?
 
Mambo ambayo wataalamu wanatabiri kuwa yatawezekana miaka 50 ijayo:⭕️Barabara kubwa chini ya maji⭕️Majengo marefu kuelekea ardhini⭕️Nyumba zinazojisafisha⭕️Hoteli mwezini⭕️Teksi zinazopaa⭕️Upandikizaji wa vifaa vya kufuatilia afya⭕️Utengenezaji wa viungo vya binadamu (3D)
 
LICHA ya kusimamisha Ligi Kuu England kwa wiki tatu hadi Aprili 3 mwaka huu, vichwa vinawauma mabosi wa bodi ya EPL, kutokana na kutakiwa kuja na majibu ya nini kitafanyika iwapo virusi vya Corona vitaendelea kuitesa nchi hiyo.
Wafanye yote lakini wasiwape ubingwa wacheza rede. Wafute tu msimu huu tuanze upya mwaka kesho !!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Saikolojia: Mwanamke hulalamika sana kwa mtu ambae anaemjali na kumpenda, ila huwa mara chache kwa mtu asiemjali wala kumpenda, ukiona mwanamke wako hakusumbui au halalamiki sana kwa vitu vibaya unavyofanya huenda hakujali au upendo umepungua.
 
Uamuzi huu ndo unafaa ili kuwa fea [emoji1547][emoji1547][emoji1547]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu huzaliwa na jinsia mbili inaitwa Intersex' kwa maana anakuwa amezaliwa na utofauti wa vitu mbalimbali ambavyo hutoa jinsia halisi ya mtu, hivyo utofauti huo hupelekea mtu kuwa katikati kwa maana huwezi kumpa hali ya kuwa moja kwa moja mwanamke au mwanaume sababu kote hajafikia asilimia 100% ya kila sifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…