Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
[emoji23][emoji23][emoji23] nilijiunga JF pia ikakubali ila mizinguo tele kulogin nikaipotezeaπππ
Yaani ulitaka za connection zenye HD uangalie kupitia kinokia chako?
I'd ndio hii hii au hii ilikuja baadae?[emoji23][emoji23][emoji23] nilijiunga JF pia ikakubali ila mizinguo tele kulogin nikaipotezea
MarhabaaaaShikamooo [emoji23]
Watu 2360 kwa miez miwili unaona ni wengi??
πππ nitake radhiMarhabaaaa
[emoji16][emoji16][emoji16]u wish...[emoji3][emoji3][emoji3] nitake radhi
πππππ[emoji16][emoji16][emoji16]u wish...
Hujambo totoo?ulilala mchana?maziwa umekunywa??[emoji23][emoji23]
Nimekumissπ₯π₯π₯π₯π₯
Salama kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijambo kabisa, habari yako?
Toka nisome ile tafiti nazingatia sana kulala mchana siwezi kuacha,
Maziwa nilikunya chai yake
ππππSalama kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#chizisanawewe
#usisahaunachokolate
Hahah! God of War nilikuwa naishia kwenye yule Monster yupo kama Chura aisee sikuwahi kuvuka hapo.....
Vipi kile kipengele ukitaka kuingia adi ujibu Yes au No kule Waptric ulikuwa unaingia?
Hahah! Nimeshajua ulikua unachagua nini ππ
Ila umenikumbusha mbali sana bro kipindi hicho pale Kitonga st Upanga nilikuwa napata ugeni kutoka Tabata, Machalii walikuwa wanafata express Music tunashindana Real football
[emoji23][emoji23][emoji23]hadi magemu yake nshavuta ila ya kitoto shuain zao walinimalizia vocha
Yaani kama haya ndio magemu mlikua mnachezea basi muache kujifanya mmekula chumvi nyingi.Mimi nlikuwa naenda nayo shule kila jumamosi full kuoshea
πππππYaani kama haya ndio magemu mlikua mnachezea basi muache kujifanya mmekula chumvi nyingi.
ππππ bro mimi ndio ninakabwa hadi penati basi tu hamtaki kuona....
Huku kwetu hawagawi kirahisi tena bure bure daah