Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hii nadhani inatokea karibu na maji. Kuna kitu kinaitwa water spout. Ni kama ki-tornado ila kinatokea juu ya maji na kinaweza kukatisha nchi kavu japo hakidumu kwa muda mrefu. Tukimbunga hutu tuna tabia ya kubeba samaki na wanyama wengine wa majini na kwenda kuwabwaga nchi kavu (mvua ya samaki...). Hata kitornado cha kawaida kikikatisha juu ya maji kinaweza kuzoa viumbe wa majini na kwenda kuwatupa kule.Kwahiyo hivi viumbe ambavyo inasemekana vinapaazwa unavielezeaje kamanda.
Kwamba kichaka au jabali ambalo limehifadhi labda joka au samaki mkubwa kisha mahali hapo pekee panapata kiwingu kisha baadaye minyororo inashuka kunyakua kiumbe kilichopo mahali hapo na mnakiona kikielekea mawinguni
Jamaa anavunja mifupa...."Silaha pesa, Kisu mzigo"View attachment 1392117
Karibu mama, ila usije ukafanya kama kamchezo yakakukuta kama yaliyonikuta mimi.
Afadhali
Mimi wakati wa kubadili Tena sikumtafuta max..ila naamka asbh nakuta amenibadilishia yeye na amenitumia na ujumbe wa kuwa tayari.
Nikazuga kushukuru na kumtakia kazi njema..yaani nilishikwa na aibu.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji4][emoji4][emoji4]Umekuwa mtu muhimu sana, usipokuepo hapa inajulikana kuna mtu kapelea kabisa ata Ostaz anakosa raha
Napenda jinsi haujibani yani upo huru unaishi maisha yako halisi unavyojisikia bila kufanya maigizo
Ufanye mpango urudi kwenye umeme wa uhakika bhana...
Wewe!!!!!.....Kila mwaka zaidi ya Wajerumani 100 hufariki kwa kuzidisha kujichua (punyeto).
Tafwadhali Bwana! 😀
Usiku uwe mwema kwetu wooote
Pole sanaUsiku mwema.
Nimewamiss humu ndani..hiki chombo Cha masiliano matatizo sehemu isiyo na umeme.
Sent using Jamii Forums mobile app
Active huyoYeah kuna mod ukimtafuta anamualika Max kwenye convo yenu, hata mie this time sikumtafuta Max nilimtafuta huyo mod ila nikashangaa Max akaalikwa na ndiyo akaja kunijibu nikawekwa mtu kati. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kimbunga kinajulikana bhana SYB, hivi unaniona mi mtoto mwenzio eenh.
Halafu yule kiumbe alikuwa na mwili kama wa binadamu na mabawa yake makubwa
Yaliyotokukuta ni yapi hayo?
Lol wamenichoka, this time walitaka kunikatalia nikawaambia ndiyo mara ya mwisho sitawaomba tena wakasema nilichokiahidi kitawekwa kwenye kumbukumbu za JF.
Hivyo mimi hapa nilipo sina tena haki ya kubadili id JF milele na milele, uzuri ni kwamba hata mie sina mpango wa kubadili tena.
Afadhali
Maana ulimuweka ankoo wako kichezeo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila Bora ungerudisha marianah
Huku kwenye zoa sijua zozo..umepotea
Sent using Jamii Forums mobile app
Kasumulu huko huko, njiapanda ya kuelekea boda pale pale njiapanda unaelekea ile njia inayoenda Ileje.
Maelezo zaidi kule maana hata mie mtaa siujui hadi nikutajie jina lake umuulizie maeneo yale watakuelekeza.