Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usiku mwema.
Nimewamiss humu ndani..hiki chombo Cha masiliano matatizo sehemu isiyo na umeme.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo ugenini ndanindani huku.
Hakuna umeme na simu yangu haitunzi Moto..nusu saa tu inazima[emoji26]...Ni changamoto sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Weekend tuonane mahali tunapoweza kupata kinywaji unieleze siri ya kubadirisha I'd mara kwa mara
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hadi max akuchoke ujue umezidi yule mkaka mtu poa sana mpole. Walivyokubana hadi raha natamani ningekuwepo kushuhudia ubuyuYeah kuna mod ukimtafuta anamualika Max kwenye convo yenu, hata mie this time sikumtafuta Max nilimtafuta huyo mod ila nikashangaa Max akaalikwa na ndiyo akaja kunijibu nikawekwa mtu kati. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296] ohoo
Lol wamenichoka, this time walitaka kunikatalia nikawaambia ndiyo mara ya mwisho sitawaomba tena wakasema nilichokiahidi kitawekwa kwenye kumbukumbu za JF.
Hivyo mimi hapa nilipo sina tena haki ya kubadili id JF milele na milele, uzuri ni kwamba hata mie sina mpango wa kubadili tena.
Jirani taratibu! [emoji3][emoji3]
Hebu eleza angalau kwa uchache majina yako ya nyuma huenda nakujua[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi kabisa inabidi tuanze kukuzoea kwa hii ID
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Umemsikia yule Jangala sasa hivi Corona Virus anaiita, Chines Virus. [emoji3] [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Weekend tuonane mahali tunapoweza kupata kinywaji unieleze siri ya kubadirisha I'd mara kwa mara
Sent using Jamii Forums mobile app
Naruhusiwa kuendelea kukuita Karma au nitakuwa nakukwaza?Edelyn, Marianah, Karma, Moana and Zoë.
Mi huyu atabakia Karma tu....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Compulsiveness?Kubadili badili I'd kama unavyofanya wewe nadhani ni aina furani ya ulevi.
Wapo wanaobadirisha kwa sababu za msingi lakini haiwezi kuwa zaidi ya mara moja
Sent using Jamii Forums mobile app