Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ndio..na Isabellah alivyosema haumwi tena anataka akaoge ajipodoe ndio kabisaa nishasahau kama kuna corona
Hahah! Nafurahi kuona huna tena woga D....

Corona ipo sema tu watu walikua wanaikuza sana katika upande wa kuua zaidi ndio maana mkawa mnaogopa kufa kama yule rafiki yako huko na Mpendwa Hawachi walikua wanatetemeka vibaya 😂😂
 
Kweli huyo ndiye mwenye matatizo, ila kwa vile anne best yake ndiyo maana anamtetea.

Yeah kale katoto kana uwezo mkubwa wa kufikiri, halafu kanafuatilia mambo mengi.

Mie naomba ujiite Emson, sina hata sababu ila basi tu napenda hilo jina linavyotamkwa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka kwa nguvu, eti maneno yanapishana. Mimi snap chat kwa kweli hapana, ni moja kati ya mitandao ambayo sijawahi kuipenda.
Imeshatimiza mwaka...nilijirecord kipindi nyimbo inatrend [emoji28]
2019 snap iliniharibu halafu nilikuwaga natumia IPhone, bora sahii nimeacha maana nimerudi Tecno na tecno ukijisnap maneno yanapishana. Basi nikifikiria tu nakoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…