moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
ππ
Yaonyesha mna mira ngumu sana.
Vinginevyo huko kijijini kwenu huwa mnaenda mara chache.
Mi bibi yangu na ndugu zangu wengine wanaoishi kijijini wakiniona wanajua kabisa huyu jamaa anakula hiki na hiki hali.
Ni hivyo, labda kwakuwa kijiji chetu cha asili kipo karibu sana na hili jiji.
Movie ambayo yuko huyo dada niliipenda kwasababu ya huyo dada tu.View attachment 1394109
Sent using Jamii Forums mobile app
Anasema sisi washamba huku wao ndio vinara wakishirikiana na wenzao wasukuma[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndio ilikua hivyo mzee πAu alijisahau akaja na hicho cha barca kwenye match ya uefa ndio akabadilishiwa? π€
Ukitaka kuangalia kwa makini kila aina ya chakula kina asili ya uchafu.
Hujawahi kula kuku au bata? Umeshaona aina ya vyakula wanavyokula?
Safi sana Carba....Meitikia salamu dav
Kwema?
Hahah! basi na yeye tumuite HawaHahah! Hapana ila siunajua majina yanaibuka
πππππ Jeshi limekusaidia cheti tuKabisa aise, mie mwenyewe na ujeda wangu huu hadi leo naogopa wadudu. Yaani nikiona mjusi au chura chumbani niko radhi nikakeshe sebuleni, sihangaiki hata kumuua wala kumfukuza.
Cha kushangaza ni kwamba hata push up au mchaka mchaka bado vinanishinda, na hata mie najiuliza sijui jeshi limenisaidia nini sasa.
Hahah! watu wafupi wasahaulifu sanaNdio ilikua hivho mzee π
Daaah kijanaaaπππ tafiti zote zenye matokeo chanya najitahidi kuzifanyia kazi hapa nilipo chokolata pembeni
Itakula dulla , Abdul,abdulrahman[emoji125]Hahah! Hapana ila siunajua majina yanaibuka
Hatari