Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,566
- 88,575
Ohoo Basi David.. Desmond,Donald,Deus
Ukikataa haya jua naenda kukupachika mijina ya kilugha[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Loooh labda siyo miye, yani kabisa unipe nachotaka kisha nichepuke?
Labda amenipa kwa masimango[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za masiku tele humu ndani
Huku safi huko mbeya vipi
Habari za masiku tele humu ndani
Habari za masiku tele humu ndani
Hamna ata npo Arusha
Habari za masiku tele humu ndani
Habari za masiku tele humu ndani
Hope wote mko poa kabisa miss u sana pakubwa guys
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mpachike tu
Kwenda huko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wilaya ya chunya,momba na ileje zote Ni songwe
Huko tukuyu na kyela unakokusema umeishia mjini tu na ulikuwa unafanya tathmini ya mjini tu..
Kote huko hujaishi.hata kufanya tathmini inakuwa ngumu
Ungeniambia wilaya ya mbarali Ina maendeleo zaidi ningekubali
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina maana hiyo.
Naama yangu kwamba kwa bibi ni lazima uwe na amani, siyo kila unachokula unatapika kama una mimba
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa dada lizarazu
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi si unaona wameongeza siku.... ingekuwa safi zaidi kama hili janga lingetokea wakat wa sup
Nilishasema Mimi nipo nafasi ya mabeyo hiyo ya ukuu wa majeshi ucdf
Wewe katafute hata ya usuma[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app