Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Jina lake halisi Ni Jenifer KyakaAnaitwa Odama, kwakweli dada ni mrembo haswaView attachment 1402522View attachment 1402523
Pochi imefanya Nini?Kwa niaba ya andaeitini woteView attachment 1402402
Pamoja na uroho wangu wote huu wa keki ila ila siwezi kulaKata keki kataView attachment 1402410
Mungu Ni Mungu tu
Inaweza kuwa kweli.Waziwanda njooni huku tuna kikao [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1402020
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wacha bana
Mungu amsaidie[emoji120]Pamoja na kushikilia Guiness record hilo ni joka la Kibisa tu haliumi hivyo usiogope. Madaktari wanasema ili kulifanya lisimame na kuuma mtu itabidi kiasi kikubwa sana cha damu kielekezwe huko kusimamia hiyo shughuli...
Huyo jamaa yupo huko mitandaoni akiomba msaada wa kulipunguza kwa sababu limegeuka mzigo/kilema....[emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
I feel you bro. Na hii guarantine ya Korona hii aisee ni balaa. Siku ya tano sasa sijaongea na mtu face to face na bila hii JF sijui ingekuwaje...
Wewe wazukie tu mabinti PM na uwaeleze shida yako. Waweza pata atakayekuelewa mkaanza kupiga stori safi tu...
ππππmkuu pole sana.Dar achana nakoYayayayaaaaaaa!!!!
Shwaini mimi mwenyewe nimepigwa karantini nisikanyage Dar hadi gonjwa liishe... Nimekuwa mpweke hadi kusoma Biblia nimechoka... Najinywea pombe tu.
Mungu niondolee domo zege nijichanganye kitaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh!!I am very frustrated today....
View attachment 1402545