myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Kudhalilishana hukoSo sad. Sie waafrica daah wanasema kisa coronaView attachment 1402297
Mh!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1402331
AiseeWaziwanda njooni huku tuna kikao [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1402020
He!! Nini tena hukoZe baharia is going for the jugular...[emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 1401979
🙏🙏🙏Mungu Atusimamie. Nimeona watu bado wanagombania daladala kama kawa. Bila Mungu kutusimamia hali inaweza kuwa tete....
Na nimeona mahala wanasema inawezekana Waafrika tuna kinga na huyu kirusi kwa sababu hafurukuti sana. Hata waliompata wengi wao wanapona na dalili zao ni za kawaida tu. Uangalifu bado ni kwa wazee na wale wenye matatizo mengine ya kiafya...
Tukiendelea kufuata masharti ya wataalamu inawezekana kikombe hiki kikatupita [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Hatari sana huyu mtu 😀😀Sunday service
Bwana wee [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mkuu pole sana.Dar achana nako