Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ukiona hivyo jua tayari. Subiri jibu utalipata baada ya miezi kenda [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Nimepoteza appetite ya kula since last week. Hapa naona kilo zishaanza kupungua [emoji26]
Numbisa emu njoo dada wa ushuani
Hapana hata hakijatungaπUkiona hivyo jua tayari. Subiri jibu utalipata baada ya miezi kenda [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Kusema kweli mara nyingi uko sahihi kabisa 100% [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lakini Mara nyingi misimamo yangu huwa sahihi
Sent using Jamii Forums mobile app
Jasti weiti ende sii ....Hapana hata hakijatunga[emoji108]
Ningekuwa Mimi nisingenawaKuna siku nimeenda bank nalazimishwa kunawa na mlinzi, nikamwambia nimepakaa sanitizer wapi kagoma hadi ninawe hivi hawajui kuna kupauka mikono, jamani ndio maana zikawepo sanitizer!!!
HapanaKusema kweli mara nyingi uko sahihi kabisa 100% [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
We kwenda hukoSubirini tena baada ya miaka 50. Utakuwa na miaka 70 wakati huo [emoji16][emoji16][emoji16]
Guys!!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Lililonipeleka lilikuwa la muhimu kuliko kupauka mikono π
Waionaje khali yako yakheee π
Nilipoona picha tu nilijua itakuwa ni hayo maeneo pendwa. Wapo kibao huko hata mchana tu utawasikia wanapiga kelele na wanahusishwa na imani za kishirikinaWatu sita wa familia moja wa kijiji cha Mwabakalanga kata ya Samuye mkoani Shinyanga wamejerihiwa na Fisi w wakati wakifanya jitihada za kumuuaView attachment 1402984
Haimo banaa πππJasti weiti ende sii ....
Kwanini akulazimishe?Lililonipeleka lilikuwa la muhimu kuliko kupauka mikono [emoji3]
ikanibidi ila nilikwazika sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tena moud umemmpendelea Sana
Ilitakiwa awe kwenye 30's
Yeah! Ukiosha macho na maziwa mabichi ya ng'ombe yaliyomaliza kukamuliwa bado ya moto moto baada ya lisaa limoja tu huyo upo zako Rocky City Mall ukifanya shopping bila wasiwasi....misuli; nyoka kama rusells vipers, nyoka wa baharini na cobra huweza kuharibu misuli kabisa na kuifanya isambae kwenye mishipa ya damu hivyo kusababisha kufa kwa figo mara moja.