Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nimebahatika kuwa na kaka.
Mmoja alikuwa anapenda zile laini laini za Jana na za nje za kina 50 cent,
Mwingine akija Ni hayo mahip hop ya bongo mwanzo mwisho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nilishatishwa na stori kibao
Nikaambiwa unajua wanachinjaje kuku?[emoji23]
Mara ooh we sogea Sana msikitini.

Nikiwa chuo mwaka wa 1 nilibahatika kupangwa na rummates wote waislam..sikukuu ya eid nikatinga na Mimi mtandio na baibui langu nililisagura mtumbani huko..nikaenda msikitini
Wala sikuona majini yoyote

Huku upande wetu wajinga Ni wengi kuliko huko.
Sidhani Kama huko kwenu Kuna vichaa Kama Huyo muomba nauli ya kwenda kupambana na corona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😀😀😀
 
[emoji3][emoji3][emoji3]
Kuwa tu mkweli..
Kuna masheikh vichaa namna hiyo?
Jibu Ni hakuna

Kuna mmoja Jina lake la ukoo Ni Kama langu, nadhani kuna namna tuna undugu..
Nilikutana naye tu huko masomoni.
Ni mkasfeta yule dada(wakasfeta mtanisamehe)yaani huwa anaona Yesu anko wake.,anaona wengine Kama hamna undugu na Yesu.

Basi Bwana siku tumetoka darasani nikakutana naye nje,wacha aniwakie..sababu Nini?eti nimevaa ushungi kichwani.
Kipindi hicho nilifululiza matambara nywele kichwani sikutaka kuzisukasuka kwa muda huo

Siku nyingine nimekutana naye nikamsalimia akanipita..kisa nimefunga kiremba.
Eti namuudhi,eti nitapata majini.
Nikamwambia muda wote huo Mimi nimekaa nao rum na kuna baadhi ya mitandio niliyokuwa navaa Ni Yao,si ningekuwa nishayapata

Watu wamekuwa brainwashed na hizi dini
Badala wafwate maandiko wao Ni kuendekeza chuki na kufwata mikumbo ya kijinga.
Kufunga kichwa hata Kwenye Biblia ipo,tena agano jipya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…