The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
Mzima kaka angu wa Pekee....Hako kamzigo kwenye bahasha kanatosha?π au nije na mkoba
Naona mmepata mwanachana mpya wa hiphopEwalaa! Ndio hiyo hiyo sasa....
"Sijajua nani Kibaki na nani ni Leila Ondinga
Yupi anataka kubaki wakati raia wanampinga...." [emoji445][emoji445][emoji444]
Nilikua najiuliza umeweza vipi kuijua hiphop sasa nimepata jibu kwamba watu waliokuzuguka(kakaz) ndio walikuinfluence
Achungulie nini tena mapozi tu hayo, umesahau kama ni msukuma?
Niko poa mno, hofu juu yako tu
#rangoanatishiakuwekamtubench
Marahaba hujambo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]taa taa Tayaaariiii[emoji2088][emoji2088][emoji2088]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu mimi kabisa,View attachment 1405799
Siumeona yebo za mtoto hizo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani kwamba Kuna mtoto kazaliwa au yebo zinauzwa?
Mimi mwenzio lugha za alama sijui
Sent using Jamii Forums mobile app
Umepata mtoto itakuaHuwezi elewa[emoji23][emoji23]
Th anamzingia Carba kwamba kishavuna
πππUlitaka kusemaje ety?[emoji16][emoji16]
Haki ya nani naona sasa jinsi unashuka dimbani kutafuta mipira mwenyewe [emoji23][emoji23][emoji23]
Tafuta wa kumsugulisha benchi mimi sipigiki misumari kirahisi [emoji3]
Bahasha inatosha wala usihofu.Mzima kaka angu wa Pekee....Hako kamzigo kwenye bahasha kanatosha?π au nije na mkoba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umepata mtoto itakua
πππ siunajua vile watu wa Mbeya wanapenda hiphop? Basi ni fujo tu humu ndaniNaona mmepata mwanachana mpya wa hiphop
Mnachana tu mistari[emoji16][emoji16]