Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yote kwa yote hao #1 huwa wanatuharibia Sana lugha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli athari hizi hujichomoza hasa katika matamshi lakini zikizoeleka sana kwa mtumiaji zinaweza kujichomoza hata katika lugha ya maandishi. Mifano ni mingi kuhusu hili na kuna mpaka machapisho ya Isimu Jamii (Sociolinguistics) kuthibitisha dai hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…