Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Gojazi [emoji91][emoji91][emoji91]Makada nao hawapitwi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1434722
Si tunasonga mwendo wa kinyongaPoleni wakulima wote...
Mungu atupe afya na uzima [emoji120] [emoji120]
Barakoa safi mpaka kautandika usingizi [emoji16][emoji16][emoji16]Yaani huu ndo wakati wa kujishaua na hizi barakoa.
Mzee wa kufikiria nje ya boksi anakwambia tushone za kibishoo zaidi.
Nna mpango wa kushona hiiView attachment 1434726
Mungu awaponye wagonjwa woote [emoji120] [emoji120]
Nimejitahidi kutafuta mji mzima hayo majani sijafanikiwa kuyaona. Labda niagize online mkuu.Bro inabidi uende kiafrika zaidi, tafuta huko kifumbasi, majani ya mjohoro, majani ya mu40 na tangawizi, changanya jifukize
Achana na hao watu we jifanyie yako
Pengine dawa yao inafanya kazi.View attachment 1434467
Hii dawa yao ni kweli hakuna hata mmoja 🤔
Huku nilipo sasa hivi wasukuma ni wachache sanaBila shaka kuna Wasukuma huko [emoji16][emoji16][emoji16]
Pole sio kwa adhabu tu... Hata mshindi hupongezwa na kupewa poleFunga sio adhabu hivyo twahitaji pongezi tu na sio pole. Ahsante tumepokea
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimechoka shemu. Nitaendelea kupambana mpaka lini? Bora nihame tu kwa kweli. Hata huko kwako nikaribishe tu unifundishe abcd za kabila lako mengine nitayajua huko mbele ya safari
Huyu binti pamoja na kwamba amevaa mask ila anaonyesha ni mrembo haswa. Chocolate color amazingYaani huu ndo wakati wa kujishaua na hizi barakoa.
Mzee wa kufikiria nje ya boksi anakwambia tushone za kibishoo zaidi.
Nna mpango wa kushona hiiView attachment 1434726
Kabila gani hao wanaotumia barakoa za mifuko?Huku nilipo sasa hivi wasukuma ni wachache sana