myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Huyo fundi ntamdai walahimekaa bomba
Fundi maiko akikuletea hii shukuru tuView attachment 1434727
[emoji818][emoji818]Huondoa sumu mwilini
Unywaji wa maji mengi husaidia kuondoa sumu mwilini kwani huwezesha viungo kama vile figo kufanya kazi yake vyema. Unapokunywa maji kabla ya kula chochote asubuhi utauwezesha mwili wako pia kujenga misuli na kuzalisha seli mpya za damu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Esta akiingia mjengoni kitanuka. Siku akiamka vibaya hata Spika atakula za uso [emoji16][emoji16][emoji16]
Agombee tuanze kupiga kampeni za chini chini japo jimbo la Nyamagana ni gumu sana halitabiriki (Masha, Wenje....)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo fundi ntamdai walah
Kabila gani hao wanaotumia barakoa za mifuko?
Usingehulumu mahari basi yaan kila siku unadaiwa jamani
Huyu binti pamoja na kwamba amevaa mask ila anaonyesha ni mrembo haswa. Chocolate color amazing
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wasukuma na sisi tumezidi dah [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1434736
Yataje shemeji. Usiogope !!!Hapa nilipo sasa hivi makabila ni mchanganyiko huwezi jua nani ni nani
Hapo shida sio timu, ni hilo "wasukuma"
Habari za majukumu ndugu yangu? Niliacha maagizo kwa shemeji, imekuwa kimya hadi nimepata suluhisho kwingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli nimeishiwa ila mahari hukumaliza ulitupiga chenga ukaanza kusema eti tuchukue bata na kuku badala ya ng'ombe. Umesahau?Weee mahari walikuja kuchukua zizi zima. Shemeji SYB najua atakuwa ameishiwa tu ndio maana ana dai mara mbili.
Sent using Jamii Forums mobile app