Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Weee mahari walikuja kuchukua zizi zima. Shemeji SYB najua atakuwa ameishiwa tu ndio maana ana dai mara mbili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi huu ugomvi wa mahari bado haujaisha tu niq?[emoji23][emoji23]Kisukuma, Mashemwji ndio wanafuata mahari sasa sikumaliza vipi na mliacha ndama tu kwenye zizi??
Sent using Jamii Forums mobile app
ni mwendo wa kuchukua like yako tu😀Hatuulizani Humu ni likes tu. Chukua like yako
ushachukua like yako😉Nyie ndio wale wapakwa Mafuta
🤣🤣🤣😀😀😀 Kwenye niko naona ni saa 20:00
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama kuna mtu anajua utaratibu wa kubadili kabila aje PM faster. This is too much. Kuna siku kabisa huwa naweka azimio kuwa leo sikomenti cho chote lakini nikiona Wasukuma wanashambuliwa roho inaniuma najikuta nishaingia kilingeni. Naomba nihamie hata kwa @Wanyakyusa, Wandali, Wazaramo, Wakinga hata kwa Nshomile. Niko siriazi [emoji16]
View attachment 1434716
Aina hii ya barakoa iko sawa kabisa..kuna aina zingine zinawazuia watu kupumua vizuriMakada nao hawapitwi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1434722
The Cerebral Assassin
Hunter......
Nimesikia leo Radio clouds wamama wa Kisukuma wanakata sindiria ndio wanatumia kama barakoa... Nimewapenda kwa ubunifu huo kwa kweliBora huko kwenu mask ni za vitenge,huku kwetu ni mifuko jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shemeji baki huko huko, ukihama tutakosa mpambano wa nani mshamba zaidi (maana wote wanatuona washamba) kati ya Ngosha Ze Don (msuku...) na Mwakaleli (mnyaki...)
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni wewe umeishona hiiYaani huu ndo wakati wa kujishaua na hizi barakoa.
Mzee wa kufikiria nje ya boksi anakwambia tushone za kibishoo zaidi.
Nna mpango wa kushona hiiView attachment 1434726
Kama kuna mtu anajua utaratibu wa kubadili kabila aje PM faster. This is too much. Kuna siku kabisa huwa naweka azimio kuwa leo sikomenti cho chote lakini nikiona Wasukuma wanashambuliwa roho inaniuma najikuta nishaingia kilingeni. Naomba nihamie hata kwa @Wanyakyusa, Wandali, Wazaramo, Wakinga hata kwa Nshomile. Niko siriazi [emoji16]
View attachment 1434716
Huku walipanda last month.Asante sana mzee babaSi tunasonga mwendo wa kinyongaView attachment 1434729
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimesikia leo Radio clouds wamama wa Kisukuma wanakata sindiria ndio wanatumia kama barakoa... Nimewapenda kwa ubunifu huo kwa kweli
Sent using Jamii Forums mobile app