Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ni mbunge wao wa CCM. Yatamalizika kimya kimya hata mahakamani yanaweza yasifike. Na huyo mkuu wa polisi utashangaa anahamishwa....Kama kweli wamemkuta na nyara za serikali atakuwa na wakati mgumu, lakini nijuavyo wafanyabiashara wengi kwenye sekta ya utalii wana nyara nyingi za wateja wao ambazo zimeshalipiwa na umiliki wake unatambulika kisheria.
Suala hili nadhani mahakama ndiyo itakayosema kweli
Ni mbunge wao wa CCM. Yatamalizika kimya kimya hata mahakamani yanaweza yasifike. Na huyo mkuu wa polisi utashangaa anahamishwa....
Bro ni wewe maana....Usisahau iliwahi tokea kitu cha aina hii kwa mbunge wa Mbalali mkoani Mbeya.
Naye alikuwa mbunge wa CCM.
Nadhani kuna jinai, tuziache mamlaka zifanye kazi yake
Sent using Jamii Forums mobile app
ββTunaendelea kuzalisha maliView attachment 1441729View attachment 1441732
Wa kwetu ametuangusha sisi kama wanayouth
Kabisa kabisaKorona shindwaaa !!!
View attachment 1441499
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Haya kamandaUsisahau iliwahi tokea kitu cha aina hii kwa mbunge wa Mbalali mkoani Mbeya.
Naye alikuwa mbunge wa CCM.
Nadhani kuna jinai, tuziache mamlaka zifanye kazi yake
Angalia hii
Poleni wasafiri, mfike salama
Mungu atuonekaniePoleni wa sokoni na dukani..