Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Nmecheka comment za humo, watu wanazunguka sana round about ya Msamvu[emoji23][emoji23]Uzi mzuri huu
SanaUnazipenda eeh?
Ahsante mzee mwenzake.Mimi nasubiria daku bana.
Uzi mzuri huu
Sana πππNmecheka comment za humo, watu wanazunguka sana round about ya Msamvu[emoji23][emoji23]
Pole sana ankoo.
Mambo vipi mkuuSalaam mkuu
Tunayoweza kuyafanya sasa tuyafanye.
Yape maisha maana nzuri
Maisha ni wimbo uimbe.
Maisha ni fursa, itumie.
Maisha ni fumbo lifumbue.
Maisha lengo, litimize
HakikaMaisha ni kitendawili kitegue.
Mapema ni mapema. Wakati uko na uwezo na masaa ya kufanya kitu/ jambo, lifanye wakati huo huo kwa maana utakuja kujilaumu siku mojaLiwezalo kufanywa leo lichangamkie sasa hivi!
Mkuu unajua kitu inaitwa foap/foam??
π π Hiyo nimeisikia leoComparing yourself to others is the thief of all joy.........................
AminaWagonjwa Mungu awaponye
ββββ