andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Stress zangu huwa zinakata haraka sana nikiyakuta malumbano yako na Ze Don... "Msukuma sio mtu", "Mkinga ni mtu?"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ankoo una nini lakini?
“Mtoto wangu wa kumzaa mwenyewe alipata Corona, alijifungia ndani, akajifukiza, akapiga limao, sasa yupo vizuri anapiga mpaka push up, huu ndio ukweli” Rais Magufuli-Chato
Usha waanza wasukuma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]labda mzee anafikiri maisha ya lockdown yana ufanano na maisha ya gerezani...
mwanaume analala chumba chake na mwanamke analala pake.
hawa wasukuma hawawezi kutimiza siku bila ya kumtaja mwanamke....nimeamini maneno ya shimba.. wanapenda mademu
Kuna rafiki yangu mmoja Injinia alipata kiharusi akapelekwa Muhimbili, wakampima wakasema ana corona, amepelekwa Amana Watu wanamuogopa kisa ana corona, Ndugu zake wakamtoa wakampeleka Agha Khan, wamechukua vipimo wakakuta mzima hana corona, amepona yupo nyumbani” -JPM
wajukuu wa Ngw'anamalundi wanapenda kiki za kileo.....jamaa kapeleka ndege mitaa ya madagaaa kwa ajili ya tiba ya malimao na majani ya mchai chaiUsha waanza wasukuma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
wewe mzee umevaa barakoa hapo ulipo
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]wajukuu wa Ngw'anamalundi wanapenda kiki za kileo.....jamaa kapeleka ndege mitaa ya madagaaa kwa ajili ya tiba ya malimao na majani ya mchai chai
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Stress zangu huwa zinakata haraka sana nikiyakuta malumbano yako na Ze Don... "Msukuma sio mtu", "Mkinga ni mtu?"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kauli yako imenipa nguvu, nielekeze Shamba lilipo nije kulima[emoji123][emoji123][emoji123]
[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ
NitakutafutaNjoo hapa Bagamoyo tuvune mpunga, mahindi na baadaye mihogo.
Kisha nitakufundisha kulima mananasi na mtikiti.
Karibu sana mkuu
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]wewe mzee umevaa barakoa hapo ulipo
Nilikuwa sijui lakini kumbe Wakinga nao ni pasua kichwa. Vikabila hivi vidogo dogo hivi havijulikani lakini navyo kumbe vimebeba makubwa. Nione mtu anataka kujichanganya kuoa Mkinga aisee atakiona cha moto wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]Stress zangu huwa zinakata haraka sana nikiyakuta malumbano yako na Ze Don... "Msukuma sio mtu", "Mkinga ni mtu?"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuhondomola ni kufaudu. Inaweza kuwa mbunye, chakula, rushwa, madaraka au cho chote. Kama ni mbunye basi ni lazima uwe umeifaudu kweli kweli umeachiwa tu uihondomole unavyotaka [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilikuwa sijui lakini kumbe Wakinga nao ni pasua kichwa. Vikabila hivi vidogo dogo hivi havijulikani lakini navyo kumbe vimebeba makubwa. Nione mtu anataka kujichanganya kuoa Mkinga aisee atakiona cha moto wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]
Shida yangu kubwa iniingizayo kwenye matata ni kudandia treni kwa mbele. Siku nikija kuishinda tabia hii basi nitaishi maisha ya amani sana humu mitandaoni. Kwa sasa ngoja niendelee na maisha haya ya kubangaiza. Nikimkuta Esta hajaamka vizuri nakula za uso na siku kaamka vyema basi ni fulu vicheko na kujibiwa vyema tu na kuelimishwa. Ndiyo maisha !!!Mtu umechoka, stress kibao kichwa kinawaka moto... Unaamua kuja hapa kijiweni, una kutana na maongezi ya hawa watu:-
SHIMBA YA BUYENZE vs Khantwe ... Ni mwendo wa malumbano tu japo ni watu wanao pendana sana
Khantwe vs Cole Williams maswali yao na majibu havioani kabisa utadhani ni wana ndoa walio fumaniana
Daemusin vs SHIMBA YA BUYENZE mwanzo mwisho ni kejeli kwa wasuku [emoji3][emoji3][emoji3]
Numbisa vs SHIMBA YA BUYENZE za uso ni kawaida kwao, kama kuna amani basi binti mpole ni kucheka tu
Kweli tiba sio lazima kuonana na daktari
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila nikianzisha hoja tayari kesharukia Wasukuma siyo watu wakati Wakinga wenyewe wanachotuzidi ni uchawi tu. Nitamnyorosha !!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nadhani huo ni muendelezo wa mgogoro wenu.
Asubuhi mmenichekesha sana
Sent using Jamii Forums mobile app