. Kuongea na simu huku ukifanya mambo mbali mbali ya ajabu unaweza ukapewa hata moto na ukapokea au kuweka kiatu ndani ya friji yaani akili yako inakuwa haiko eneo husika kabisa.
Umeongozana na mtu mnapiga stori ghafla anasimama wewe hujui unaendelea tu kuongea na mtu mwingine wala hata hakufahamu unakuja kushtuka mbali sana. Dah aibu
Ameigiza filamu saba (7) ambazo ni The Gods Must Be Crazy (1980), The Gods Must Be Crazy II (1988), Kwacca Strikes Back (1990), Crazy Safari (1991), Crazy Hong Kong (1993), The Gods Must be Funny in China (1994), Sekai Ururun Taizaiki (1996)
Katika filamu yake ya kwanza aliambulia kiasi cha shilingi 480,000. kwa sababu katika kijiji chake walichokuwa wakiishi hawakuwa wakitumia pesa na aliona kama hazina umuhimu.
Baada ya kufundishwa umuhimu wa pesa ndipo alipoanza kutoza fedha nyingi, katika filamu yake ya pili alitoza fedha ambazo zilimuwezesha kujenga nyumba ya tofali, yenye umeme na maji. (nyumba ya kwanza yenye umeme na maji kijijini kwake).