Hata mimi najishangaa sana!!
Umegundua kwanini nakupigia simu mara kwa mara?
Pengo lako halizibiki, rudi nyumbani mwandani wangu. Tulipoishia tutaanzia hapo hapo kula raha... Sawa mama?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ulikuwa unachagua chagua sana, maana karibu wote tulikuchagua wewe, tulianza kukugombea mpaka mzee wa Mwakaleli alichukia[emoji23][emoji23] Nadhani tulikuwa watu wanne pamoja na ho chi minh[emoji23][emoji23]Ilibidi nibaki tu peke yangu kwanza, Bob alipotea jumla. Moud nae hatukufikia mwafaka[emoji28][emoji28][emoji28]
Mbona walishindwa kumlinda Mwenyekiti wao?Wana hela nyingi. Wanaweza hata kuajiri ex commandos...au ile guard yao (red guard?) kama bado ipo...
Mahari safari hii itabidi ajipange vizuri. Hatutaki deni hata kidogo. Na ng'ombe tunachagua tuwapendao. Hata aibu hana [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]Kule sirudi ht kwa greda.
Labda uje unipose upya na mahari mpya na makubaliano mapya.
Sasa ukivunja hiyo iPhone kesho yake unakwenda kumnunulia mpya au inakuwaje? Bageshi hizi hasira ulizitoa wapi? Mbona ulipokuwa bado nyumbani hukuwa hivi?
Mwenyekiti wao naye mazingira ni yale yale tatanishi. Anyway wanajua wenyewe [emoji2221][emoji2221][emoji2221]Mbona walishindwa kumlinda Mwenyekiti wao?
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Mungu kawajaalia mdomo wa kuongea. Wewe mwenyewe ile mwanzoni nakutokea kwa umbo lako lilivyo katika nikajua ni wa pwani,nikajipiga ngumi kifuani
Ndiyo hivyo,
Huku kwetu mdada akifanywa na wanaume watano tu jiji lote linatikisika, mpaka hospitali atalazwa, madrip ya kumwaga.
Lakini mzungu wa watu yuko poa kabisa[emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Upole ule umepotelea wapi? Hizi hasira zimekuanza lini? Hako katoto nako kanafoka au kanajigaragaza kakiwa na hasira? Hamkatii kibano au mnakadekesha tu?Kesho yake anarudi kwenye kitochi, kiufupi mm nikiwq na hasira kaa mbali tu na mm. Sipendi kuongeleshwa ongeleshwa huku nimejaa hasira[emoji28][emoji28][emoji28].
Hlf hii naiona ht kwa haka katoto kangu kadogo. Kakichukia ukijidai unakaongelesha ni balaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ulikuwa unachagua chagua sana, maana karibu wote tulikuchagua wewe, tulianza kukugombea mpaka mzee wa Mwakaleli alichukia[emoji23][emoji23] Nadhani tulikuwa watu wanne pamoja na ho chi minh[emoji23][emoji23]
Mbona walishindwa kumlinda Mwenyekiti wao?
Jamani mai wangu usijibu kwa kisirani, achana na maneno ya shemeji, wewe ndio mimi na mimi ndio wewe, tu mwili mmoja.Kule sirudi ht kwa greda.
Labda uje unipose upya na mahari mpya na makubaliano mapya.
Mahari safari hii itabidi ajipange vizuri. Hatutaki deni hata kidogo. Na ng'ombe tunachagua tuwapendao. Hata aibu hana [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
Shemeji tulia basi [emoji1][emoji1][emoji1]Mahari safari hii itabidi ajipange vizuri. Hatutaki deni hata kidogo. Na ng'ombe tunachagua tuwapendao. Hata aibu hana [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
Wale wanakuwa kazini. Na show inakuwa scripted - wanaume wameandaliwa na kila mmoja anajua la kufanya. Na si ajabu walichaguliwa ambao hawana mafenesi. Naye sterling alikula madawa ya kuondoa maumivu. Na bila shaka atakuwa alijiandaa vizuri kwa kulainisha njia kwa madawa na njia mbalimbali ikiwemo kujisokomeza majitu makubwa makubwa kuelekea her big day. Na kunakuwa na wasimamizi wakiwemo madaktari. Wanaume 900 hivi hivi wangemuua ...Ndiyo hivyo,
Huku kwetu mdada akifanywa na wanaume watano tu jiji lote linatikisika, mpaka hospitali atalazwa, madrip ya kumwaga.
Lakini mzungu wa watu yuko poa kabisa[emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
[emoji23][emoji23]Tatizo vijana wa sasa miziki waipendayo ni hiyo... Kanyaga, kwangwaru, minyama tu....