Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,389
- 59,151
Salama bro.Kwema bro?familia haijambo hapo?
Mambo yamekua mengi dada yangu.Bradha marahabaa second born ameshakuja nini maana sio kwa kupotea huko
Haya dada, naona hutaki kutembelewa.Nipo uyui tabora hukooo
Kwamba zile safari za Tanga zimeshalipa?Mbona sikupata mwaliko?
Hapana, sijamuona tokea kitambo sana.Alikuja humu, hukumuona Jana?
Lack of which opportunity?virginity is not dignity,but its lack of opportunity" tembea na hii bob itakusaidia