Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nafurahi kukusikia bro. Natumaini kila kitu kiko salama. Tumshukuru Mungu bro [emoji1545][emoji1545][emoji1545]

Sema nikutumie kaboksi kamoja. I am serious bro. Ni wiki moja tu unakapata.
Shemeji,haaaiii[emoji870][emoji870]
Hilo box haliwez pitia kwangu ndo liende kwa dav??[emoji125][emoji125]
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚kule ni shida ukute malkia wake anawacheki tu mnavyopewa siri kali kali


Sana kama chizi maarifa kapotea na story yake huku akilalamika kutishwa kwan hakujua tangu anaanza toa story husika
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa nini usije kuchekea kule

Waleta story za jf wanaringa sana sijui wanajikuta nani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…