Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Haya maelezo yangeambatana na tupicha twao nakuapia kwa Mungu tungemuombea a-RIP huko kwenye makazi mapya na huyo mwingine tungeendelea na mchakato chanya...
Tupiamo basi boss wangu [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Pole sana shemeji. Mungu na Aendelee kuwapigania. Mpe pole sana dadangu...
 
******* ni nyie mnaoumia mtu kuagwa.
Huwezi jua sababu ya kutokutoa taarifa...si lazima kila ukiumwa useme.
We ni mpuuzi kabisa unaetetea usichokijua ungekuwa mdudu ungekuwa funza mkuu, fikiria mkuu wa nchi anaugua mpaka anafariki tarehe 11 na huambiwi unafichwa unaambia tarehe 17.

Bado hujaona viongozi wako ni wapambavu kama wewe mkuu.
 
Bahati mbaya Mimi si mdudu[emoji4][emoji108]
Wewe hata kukupa umdudu nitakuwa nimekupendelea
Jitokeze ututangazie wewe hiyo tar 11..si unajidai una akili kuliko serikali.
Nimeshakwambia si kila ukiumwa lazima utangaze,huwezi jua kwanini wamefanya hivyo.
shiu yang
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…